Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia
taarifa ya mwaka
mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo
Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai
23, 2014 katika ukumbi
wa Mwalimu Nyerere Jijini
Dar es Salaam. Kulia ni
Katibu
Mkuu wa Wizara
ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Bashir Mrindoko
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja
wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja
ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika
leo Jumatano Julai 23,
2014 katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia
ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Asha- Rose Migiro
na (katikati) Mtendaji Mkuu
wa Ofisi ya
Rais- Usimamizi wa
Utekelezaji wa Miradi
(PDB), Bw. Omari Issa.
Naibu Waziri
wa Viwanda na Biashara, Mhe.
Janet Mbene akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka
mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa
uliofanyika leo Jumatano Julai 23,
2014 katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini.
.
Naibu Waziri
wa Katiba na
Sheria, Mhe. Angellah Kairuki (katikati)
akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka
mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa
uliofanyika leo Jumatano Julai 23,
2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini
Dar es Salaam.
1.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe.
Harrison Mwakyembe (kulia) akichangia akichangia hoja
wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka
mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa
uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es
Salaam. Kutoka kushoto ni
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
Mhe. Shukuru Kawambwa, Naibu
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mhe. Mwigulu Nchemba, na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini, Eliakim Maswi.
(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA-
MAELEZO)