| MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu
Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati
akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo
Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu
alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka
chooni akiwa location katika hoteli ya Silver
Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya
mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa
anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO
YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN! |