KEISHA AJIFUNGUA MTOTO WA PILI WA KIUME

Keisha akiwa amelala na mtoto wake

Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni
Akizungumza na waandishi wa habari leo Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema.

Mtoto wa Keisha
 

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family