Ushawahi kudhani kama hawa watu wawili wanaweza kuendana katika Track
moja,huku shakira akiwa ni mwimbaji wa style tofauti kabisa na
rihanna,kitu ambacho dunia nzima inasusubiri collabo hiyo ya wawili hao
ambayo ipo jikoni soon kuwa released.mwaka huu una kila aina ya matukio
muhimu yakutegemewa kutokea ambayo hayajawahi kabisa kutokea,ukizingatia
na ni mwanzo tu wa mwaka huu ambapo tunategemea collabo kati ya star
hao wawili ambalo halijawa hikutokea.
“Cant remember to forget u” ndo itakuwa nyimbo ya kwanza ya shakira
ambayo itakuwa ni manzo tu katika harakati ya kutengeneza album yake ya
kwanza ambayo ataimba nyimbo zote kwa kingereza tu.shakira amekuwa kimya
kwa muda toka ame-release album yake ya “she wolf “mapema mwaka
2009,album iliyofanikiwa kuuza kwa wingi sana.huku Rihanna akiwa ndio
kama mkali wa kuwekwa kwenye collabo mbali mbali na kuzifanya zi-make
headlines kama zile alizofanya na eminem,ambazo kila moja aliyowahi
kufanya imeweza kukaa muda mrefu kwenye chart mbalimbali za nyimbo
duniani.


