BREAKING NEWS: WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA , KATIKA MLIMA NYOKA

 Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya
 Kiatu vya mmoja wa marehemu aliye uawa
Hapa ni eneo marehemu walipo jaribu kukimbia

Baadhi ya mashuhuda akiwemo mwenyekiti wa Bajaji wa pili kushoto na watatu mwenye begi mgongoni mwenyekiti wa Bodaboda wakiwa eneo la tukio Mlima Nyoka
Picha na Ezekiel Kamanga 


Mbeya yetu Blog
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family