
Hii ni nafasi nyingine ya Tanzania kuendelea kujitangaza na kuonyesha kwamba kuna vipaji vya soka, kama ushindi utaangukia kwa Mbwana Samatta kwenye hii tuzo ya African Player of the Year – Based in Africa kutoka CAF, ni imani yangu Club kubwa za dunia zinazofatilia vipaji vya soka Afrika zinaweza kushawishika kuja kutazama vipaji zaidi vya Tanzania.
Mshindi atatangazwa Alhamisi ya January 9 2014 Lagos, Nigeria.

