50 WAFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE


Mabaki ya ndege aina ya Boeing 737 baada kulipuka.
Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana eneo la Uwanja wa Ndege jijini Kazn, Urusi.
(Picha: Mirror News)
Watu 50 waliokuwa katika ndege aina ya Boeing 737 wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kulipuka wakati ikijaribu kutua jijini Kazan, Urusi ikitokea Moscow!
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family