PICHA ZA HOTEL ILIYOJENGWA CHINI YA BAHARI HUKO ZANZIBAR,SI MCHEZO

1Unaambiwa kinachoshindikana ni kumtengeneza binadamu mpya tu kwenye hii dunia, huko Pemba imezinduliwa hoteli mpya mwezi huu yenye vyumba 16 iitwayo The Manta Resort ikiwa designed by Swedish company Genberg Underwater Hotels kwa mujibu wa CNN.
Yani ukiwa umelala chumbani unaona samaki kabisa kupitia madirisha ambapo gharama yake kulala kwa watu wawili ni dola za Kimarekani 1500 ambayo ni zaidi ya milioni mbili za kitanzania na kwa mtu mmoja ni $900 ambayo inagonga kwenye milioni moja na laki nne hivi.
2
3
4
5
6
7Hii ni karibu na Hoteli yenyewe.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family