MWANAJESHI KUTOKA JWTZ AUWAWA NCHINI CONGO NA M23

 Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania Mwanajeshi kwa jina RAJABU AHMAD MLIMA katika Vita vya waasi huko Congo ..Alikuwa katika Jitihada za kuwalinda wakazi wa mji wa Kiwanga nchini humo pamoja na wanajeshi wengine wa Umoja wa Mataifa ....Mungu Ailaze mahali pema Peponi Roho yake ....Amen
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family