HUYU NDIYE RAIS MPYA WA TANZANIA FOOTBALL FEDERATION ( TFF )
JAMALI
Malinzi amechaguliwa kuwa Rais Mpya wa TFF baada ya kumpiku mpinzani
wake Athuman Nyamlani katika uliotawaliwa na kashkashi za hapa na pale,
ulifanyika katika ukumbi wa NSSF WATER FRONT, Dar es salaam..