PETER OKOYE WA P SQUARE KUOA MWEZI UJAO

Peter Okoye Wa Psquare Akiwa Na Mpenzi Wake
 Wasanii Wanaofanya Vizuri Ndani Na Nje Ya Africa Tunaowatambua Kama P Square Yaani Peter Na Paul Okoye Wanaotoka Katika Familia Moja Pia Wakiwa Wamezaliwa Kama Mapacha Mmoja Wao Ambaye Ni Peter Okoye Anatarajia Kuvuta Jiko Mwaka Huu Mwezi Wa Kumi Na Moja Tarehe 27 nchini Kwao Huko Nigeria.Mpenzi Wake Huyo Akiwa Tayari Ameshamzalia Watoto Wawili Ambao Wamewapa Majina Ya (Cameron Na Aliona) Huku Mwezi Mmoja Na Wiki Kadhaa Zilizopita Alimvisha Pete Yenye Thamani Ya Juu Iliyotengenezwa Kwa Madini Ya Diamond Mwanadada Lola Omotayo Na Kumpa Zawadi Ya Gari Aina Ya Range Rover Yenye Thamani Ya N15 million. .Zifuatazo Ni Picha Za Mwanadada Huyo Pamoja Na Surprise Aliyowahi Kumfanyia Siku Aliyomvisha Pete Ya Uchumba.
Mke Mtarajiwa Wa Peter Okoye Wa P square

Gri Aliyomzawadia Mke Wake Mtarajiwa Siku Aliyomvisha Pete





 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family