| Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina Barnaba Boy Classic kutoa heshima za mwisho..! |
| Familia wakitoa heshima za mwisho.....!! |
| Ni Huzuni |
| Barnaba akiagana na Mama kwa mara ya mwisho.....!! |
| Madee along side with Lady Naa....walikuwepo pia....!! |
| Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!! |
| Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T) |
| Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini kwaajili ya maziko kumpumzisha Mama....!! |
| Esmah Khan & Hawa video queen kwenye wimbo wa Ntaerejea aliyoshilikishwa na msanii Diamond walikuwepo kuwafariji wafiwa... |
| Hapa mwili ukiwa umeasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...! |
| Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!! |
| Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kuashiria ishara ya alipotoka ni mavumbini na atarudi mavumbini..... |
| Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia hatua ya kutokuweza kusimama, ilibidi asaidiwe...!! |
| Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!! |
| Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukia na mchanga.....! |
| Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!! |
| Producer Lamar Niekamp wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...! |
| Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa... |
| Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!! |
| Simple the Boyalionekana kuwa mbele kwenye ratiba ya makaburini kuakikisha mipango inaenda sawa...!! |
| Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini kuashiria ishara ya ufufuo...!! |
| Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya marehemu Mariamu Arubeth...!! |
| Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara baada ya kumaliza shuguli a maziko...!! |
| Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada ya shuguli ya mazishi kukamilika...!! |
| Mama Mzazi Wa Diamond,Dada Yake Pamoja Na Blogger Wake Waliofika Kumuwakilisha Diamond Ambaye Yupo Kwenye Show Commoro |
