MSANII BARNABA AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI ALFAJIRI YA LEO

Taarifa zilizothibitishwa na rafiki wa karibu na msanii mwenzake Amini , zinasema mama yake
Barnaba amefariki nyumbani kwake alfajiri yaleo Jumamosi (June 22) kutokana na presha.Tunawapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na familia ya Barnaba ambao wako katika kipindi hiki kigumu na Mungu alizae mahala pema roho ya marehemu, Amen.

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family