![]() |
| Watu Saba Wamejeruhiwa Vibaya Na Kitu Kinachozaniwa Kuwa Ni Bomu Katika Mkutano Wa Chadema Uliokua Ukifanyika Soweto Jijini Arusha.Ni baada ya Mh Freeman Mbowe kumaliza kuhutubia na hatimaye limeua watu kadhaa. Hali ni ya hatari kwa sasa. |
TUTAENDELEA KUWAJUZA HABARI ZAIDI KADRI ZITAKAVYOTUFIKIA

