Mwandishi kutoka Arusha katika mkutano wa Chadema Soweto Arusha leo
anaripoti ni watu wawili wamefariki kwenye bomu lililolipuliwa saa kumi
na mbili jioni ambapo majeruhi ni zaidi ya 10, pia gari la wagonjwa la
Hospitali ya Mount Meru STK 8493 limevunjwa vioo kwa madai ya wananchi
kwamba limeshindwa kuokoa maisha ya majeruhi, inaripotiwa pia bomu
lililolipuliwa sio la polisi.
|