
Wakali wa ngoma “MUZIKI GANI” , yaani Nay Wa Mitego Na Diamond wako
njiani kuachia ngoma nyingine wakiwa katika collabo … Inasadikika kuwa
Platnumz na Nay Wa Mitego wamesharekodi ngoma kadhaa ikiwemo SALAMU ZAO,
UTAKULA JEURI YAKO na nyinginezo ila wanashauriana ni ipi ya kutoa …
MUZIKI GANI imefanya vizuri sana na wasanii hawa na hakutakuwa na tatizo
kama wakiendeleza kazi zao kwa pamoja … Wasanii hawa wako kwenye ziara
zao tofauti kimuziki lakini tuwategemee tena na ngoma nyingine kali
