BAADA YA KUFANYA MAPENZI:MWANAFUNZI AMCHINJA MPENZI WAKE(TUNAOMBA RADHI KWA PICHA AMBAYO SI NZURI)

Mwanafunzi amkata girlfriend wake kichwa baada ya kufanya nae mapenzi
Picha Ya Marehemu Baada Ya Kuchinjwa

Imetokea kwenye jimbo la Niger, aliofanya unyama huo ni mwanafunz wa chuo cha Federal University of Mechnology Minna, anaitwa Godwin Edeko na ameshakamatwa na Niger state police, mtuhumiwa alijifungia ndani na msichana uyo kwa siku 3,majiranI walisikia kelele,na jamaa akakimbia,majiran walivyoona kimya wakaingia ndani na wakamkuta msichana amekatwa kichwa,uchunguz zaidi unaendele.
Sasa kama ni wivu wa mapenzi au ni kisa chochote sisi Habari Vyuoni tunatoa tahadhari kwa wapenzi wote walio katika vyuo vyetu tuwe makini na partners wetu wengine wanakuwa na background mbaya maishani mwao. Wengine wanakuwa na hasira kupita kiasi, na wengine wanaweza kuwa na tatizo la akili. Inatakiwa mfahamiane vizuri kablya hamjaingia kwenye mapenzi ya kuingia chumbani. Kitu kama hiki kilichotokea Niger kinaweza kutokea hata hapa Tanzania…

SOURCE:HABARI VYUONI BLOG
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family