BREAKING NEWZ:PADRI AJERUHIWA KWA RISASI ZANZIBAR

Padre Ambrose Mkenda
 Kwa Mujibu Wa Breaking Newz Ktika Kituo Cha Radio One Kinripoti Na Kusema.Padre aliyejulikana Kwa jina La Ambrose Mkenda(Pichani Hapo Juu Na Chini)Amejuruhiwa na Risasi na Watu Wasio Julikana Kwenye Geti La Kuingilia Nyumbani Kwake Maeneo Ya Kitomondo Zanzibar Ambapo ndipo Makazi Yake Yalipo Akiwemo Ndani Ya Gari Aliyokua Akiendesha Peke Yake
Hali yake sio nzuri kwani Risasi aliyopigwa imemdhuru maeneo ya mdomoni.

Waliompiga Risasi Padre huyo inasemekana ni watu waliokuwa ndani ya pikipiki,ambao walimvamia akisubilia afunguliwe geti kuingia nyumbani kwake.


 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family