skip to main |
skip to sidebar
HAPPY BIRTHDAY MAMA YANGU KIPENZI (MAMA ERNEST)BLOGGER@2BROTHERS
 |
| Mama Yangu Mzazi |
|
|
Leo mama yangu anasheherekea Christmas Wakati HuoHuo Anasheherekea Siku Yake Ya Kuzaliwa,Hivyo Tukiwa Kma Familia na Pia Watoto Wake Tunamtakia Heri Ya Siku Yake Ya Kuzaliwa Na Mungu Ampe Miaka Mingi Zaidi Na Heri Duniani....Dah Tunampenda Sana Mama Yetu Na Tutazidi Kumuombea Kwa Mungu Miaka Yake Izidi Kuongezeka Na Iwe Yenye Heri Duniani
Nampenda Sana Mama Yangu
Happy Birthday My Mom................