PICHA JINSI PADRE ALIYEPIGWA RISASI ALIVYOJERUHIWA-ZANZIBAR

PADRE AMBROSE MKENDA BAADA YAKUPATA MAJERUHI
Ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo zinasema hali ya padri huyo si nzuri kwani risasi hiyo ilimpata maeneo ya mdomoni na kwamba kuna uwezekano wa kuhamishiwa bara kwa matibabu, huku watu waliofanya kitendo hicho wanadaiwa walikuwa wamepanda pikipiki wakiwa nje ya nyumba ya padri huyo wakisubiria afunguliwe geti kuingia nyumbani kwake. Hayo yanafanyika wakati ambao kanisa hilo duniani likiwa limetoa ujumbe wake mkuu wa Krisimasi usemao ''Upendo na Amani''.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family