BABA YAO P SQUARE AZIKWA LEO JAN 30 TANGU ALIPOFARIKI NOV 14 PICHA ZIPO HAPA

Psq VII
Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye wa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.
Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo leo January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.
Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye, baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.

Ps

Psq II

PSq Iv

Psq IX

.
Peter na Paul Okoye.

Psq VI

PSQ vkas

.
Peter na kaka yake Jude Okoye.
pSQ

P S 1

PS 2

PS 3

Kulikua na ulinzi pia
Kulikua na ulinzi pia

ps 5

ps 6
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family