Mama wa marehemu, akilia kwa uchungu.
Baadhi ya waombolezaji ambao walikusanyika msibani hapo.
Mume wa marehemu, Athumani Mgaya akiwa na mtoto aliyezaa na marehamu ambaye ana miezi minne.
Baadhi ya ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu.
Mwili ukiwa umewekwa tayari kwa kusomewa dua.
Mnenguaji, Super Nyamwela akiwa msibani.
Aliyekuwa mnenguaji maarufu wa bendi ya Extra Bongo, Mwamtumu
Athumani alyefariki hapo jana kwa ungonjwa wa TB na mapafu kujaa maji
amezikwa leo katika makaburi ya Mburahati jijini Dar es Salaam.
( HABARI NA GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH / GPL )