WINGA Gareth Bale amewathibitishia mashaiki wa Real Madrid kwamba yeye ni mkali na guu la kushoto, baada ya jana kutoa pasi za mabao mawili katika ushindi wa 3-2 wa timu hiyo dhidi ya Rayo Vallecano. (HM)
Wakiwa wanaitwa Mabao ya Euro Milioni
194 mjini Madrid – Ronaldo alimalizia pasi ya Bale na kama ilivyokuwa
katika ushindi wa 7-3 dhidi ya Sevilla kawikati ya wiki, wawili hao
wishirikiana katika bao la tatu.
Bale alimtoka Anaitz Arbilla upande wa kulia kabla ya kumtilia krosi Ronaldo ambaye alifunga bao lake la 13 msimu huu.
Real Madrid waliongoza kwa 3-0,
Ronaldo akifunga la kwanza dakika ya tatu na la pili dakika ya 48 kabla
ya Karim Benzema kufunga la tatu dakika ya 31, lakini wapinzani wao
walikuja juu kipindi cha pili na kujpata bao la kwza dakika ya 53 kwa
penalti mfungaji Viera ambaye alifunga tena dakika ya 55.
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa: Diego
Lopez, Carvajal/Arbeloa dk59, Pepe, Sergio Ramos, Coentrao/Marcelo
dk45, Xabi Alonso/Illaramendi dk45, Modric, Bale, Di Maria, Ronaldo na
Benzema.
Rayo Vallecano: Ruben; Tito, Galvez,
Arbilla/Larrivey dk51, Nacho; Adrian, Saul; Trashorras, Lass,
Falque/Embarba dk69 na Viera. Chanzo: binzubeiry