Mwili wa marehemu baba yake mdogo Bahati Bukuku, Mzee Lwagha Bukuku
leo umeagwa eneo la Tabata Migombani jijini Dar es Salaam kabla ya
kusafirishwa kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi. Marehemu alifariki dunia
juzi Jumanne katika hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga, jijini Dar
es Salaam.