LINAH:BADO SIJACHUMBIWA


Baada Ya Picha Hii Kuzua Gumzo Kuwa Amevalishwa Pete Ya Uchumba Hatimaye Lina Amekanusha Habari Hizo.Kwa sasa habari zimetapakaa kwenye mtandao kuwa amevalishwa pete ya uchumba na muda si mrefu watafunga ndoa, baada ya uvumi huo chanzo chetu kilimvutia waya ilikupata kujua ni kweli wa habari hizo ila Linah alijibu “Ukweli hakuna binti anayekataa bahati kama hiyo ikitokea katika mahusiano na mpenzi wake, ila kilichofanyika mimi nilivaa pete ile si kwamba nimechumbiwa sasa kuna mtu akanipiga picha na kuandika habari zisizo katika mitandao, so hiyo ni kuharibiana ridhiki tu mimi bado sijachumbiwa” alisema Linah.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family