KUTANA NA PICHA ALIYOUPLOAD VAN PERSIE AKIWA NA MCHEZA MPIRA WA KIKAPU MTANZANIA HASHEEM THABEET

Robin Van Persie na Hasheem Thabeet
Katika picha 22 alizopost kwenye page yake ya instagram staa wa soka kutoka Manchester United Robin van Persie, picha moja wapo ni aliyopiga na staa wa mpira wa kikapu Mtanzania Hasheem Thabeet October 7 2013 na kuandika ‘ilikua poa kukutana na big man Hasheem Thabeet’ kisha akaweka alama ya mpira wa kikapu na mpira wa miguu.

Robin Van Persie na Hasheem Thabeet status oct 7 2013
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family