Lori lililogonga treni ya
Mwakyembe lililokuwa likitoka Stesheni kuelekea ubungo kwenye majira ya
Saa kumi na Mbili Jioni Likiwa limepinduka mara baada ya
kuligonga treni hilo eneo la Buguruni Bakheresa
Wakazi wa jiji la Dar na Wapita
njia wakishangaa lori lililogonga treni ya Mwakyembe iliyokuwa ikitoka
Stesheni kuelekea Ubungo majira ya Saa Kumi jioni ya leo
Kichwa cha Lori lililogonga treni
kikiwa kimepinduka mara baada ya kuligonga treni hilo majira ya saa
kumi na mbili wakati treni hiyo ikiwa inatoka Stesheni
kuelekea Ubungo
Sehemu ya tera la lori hilo
lililogonga Treni leo majira ya Saa kumi na mbili jioni ya leo likiwa
limepinduka huku wakazi wakichukua taswira la lori hilo
Wakazi wa jiji la dar
wakishuhudia ajali hiyo ya lori lililogonga treni ya Mwakyembe majira ya
Saa kumi na mbili Eneo la Buguruni Bakheresa
Kichwa cha treni (chenye rangi ya
bluu) kikiwa kimesimama mara baada ya kugongwa na lori maeneo ya
Buguruni Bakheresa Jioni ya saa kumi na mbili
Kichwa
cha treni kikiwa kimesimama mara baada ya kugongwa na lori na kupelekea
lori hilo kupinduka maeneo ya Buguruni bakheresa wakati treni hiyo
ikiwa inatoka Stesheni kuelekea ubungo kwenye majira ya Saa Kumi na
Mbili jioni ya juzi
Majira ya Saa 12 Jioni Treni ya
Mwakyembe iliyokuwa ikitoka Stesheni Kuelekea Ubungo limepata dhoruba ya
kugongwa na lori la mizigo kwenye eneo la Buguruni bakheresa Mita
chache kabla ya kusimama kwaajili ya kushusha abiria wanaoshuka eneo
hilo la Buguruni
Mpaka tunaondoka eneo la tukio hakuna taarifa ya waliopoteza maisha wala kujeruhiwa