Kutokana na mashambulio yaliyotokea kwenye shopping mall ya Westgate, Rais wa Kenya Uhuru Kenya amelihutubia taifa la Kenya na kusema maneno ya msingi kuhusu swala la Westgate. Moja ya vitu vikubwa ambavyo Uhuru Kenyata amevisema ni kuhusu nchi yake kuomboleza kwa muda wa siku tatu na bendera ya taifa la Kenya itapepea nusu mlingoti kuwakumbuka wote waliopoteza maisha kwenye hili shambulio. |