Mamia Ya Waombolezaji Wakisubiri Mwili Wa Marehemu Albert Mangwair Kuwasili Kutoka South Africa |
Mamia Ya Waombolezaji Wakiwemo Wasanii Wenzake Na Umati Wa Watu Wakibeba Jeneza Lenye Mwili Wa Marehemu Albert Mangwair |
Marehemu Ngwair Enzi Za Uhai Wake |
Wakisubiri Mwili Wa Marehemu Ngwair Kutoka Ndani Ya Uwanja Wa Ndege,Picha Ya Chini Ni gari Lililobema Mwili Wa Marehemu Albert Mangwair |
Mwili Wa Marehemu Albert Mangwair Ukiwa Ndani Ya Gari Tayari Kuanza Msafara Kuelekea Muhimbili Utakapoenda Kupumzishwa |
Msanii Wa Muziki Wa Rap Music Mchizi Mox Akiwa A mebeba Msalaba |
Katikati Ya Msafara Watu Wenye Mapeenzi Ya Kweli Na Marehemu Ngwair Walizuia Msafara Na Kuomba Kushushwa Jeneza Na Wabebe Kwa Mikono Yao Yenyewe |
Picha Ya Juu Watu Wakisukumiza Gari La Marehemu Ngwair Hawataki Liende Peke Yake |