Mama mzazi wa marehemu Albert Mangwea, Denisia Mangwea akisali mbele ya mwili wa mwanawe kabla ya kuanza msafara kuelekea makaburi ya Mtakatifu Monica kwa ajili ya mazishi yaliyofanyika Kihonda, Morogoro jana. Picha na Juma Mtanda. |
Kabla
ya kuzikwa, wananchi wa Morogoro walipata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu Mangwar kwenye uwanja wa Jamhuri.
Umati mkubwa wa wananchi ulijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Ngwair aliyefariki nchini Afrika Kusini, wiki iliyopita. Wasanii wengi kutoka Dar es Salaam nao wamehudhuria mazishi hayo.

Hatimaye mwili wa Mangwair umezikwa katika makaburi ya Kihonda Morogoro ambako ni nyumbani kwa marehemu Mangwair