LIVE kutoka Mbezi Beach Dar es Salaam -RadhiaMsuya Balozi wa Tanzania nchini AfricaKusini atembelea nyumbani kwa wafiwa wa Albert Mangweha |
Mh RadhiaMsuya balozi wa Tanzania Africa Kusini akizungumza na wasanii pamoja na wadau wa mziki mawili machache na baada ya hapo ameweza kuondoka kwenye eneo hili la msiba Mbezi Beach |