Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili jana jioni kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini |
Arusha. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha(picha na Freddy |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi bbada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha(picha na Freddy |
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe
Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi bbada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria
Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika
|