Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akihutubia wakati wa kukabidhi basi la taifa Stars |
Beki wa Taifa Stars, Erasto Nyoni akishuka kwenye basi hilo |
Kocha wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen akishuka kwebye basi hilo |
Kocha Kim akiwa ameketi ndani ya basi na Nyoni |
Nyoni akipanda basi |
Msaa wa kundi la Wanne Star, akiwa amepaka rangi za bendera ya taifa, kuashiria mapenzi kwa timu yake ya taifa, Taifa Stars |
Rais wa TFF, Leodegar Tenga kulia akiteta jambo na Katibu wake, Angetile Osiah kushoto. Katikati ni Kim Poulsen |
Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu kulia akiwa na mwandishi wa Star TV, Joyce Nsiima |
Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni akiwa na Nyoni kushoto |
Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche akihutubia |
Kushila kulia na Tenga kushoto wakifuatilia DVD ya basi la Taifa la Stars |
Hapa joto lilizidi, Tenga akijipepea na kujifuta kulia na Kim akijifuta jasho |
Wasanii wa kundi la Wanne Star wakitoa burudani |
Tenga akiwaelekeza jambo, Kim na Angetile |
Tenga akihutubia |
Vijana wa Wanne Star wakifanya vitu vyao |
Vijana wa Wane Star wakifanya mambo yao |