PICHA:KAMA ULIMISS UZINDUZI WA KAMPUNI YA FILAMU INAYOMILIKIWA NA WEMA SEPETU

ENDLESS FAME PRODUCTION KAMPUNI YA WEMA SEPETU YAZINDUA OFISI MPYA

Mwanadada Wema Abraham Sepetu leo hii amezindua rasmi office yake inayohusika na masuala ya productions na burudani. Msikilize hapa chini na pia tupia macho baadhi ya picha ya ofisi zake hizo pamoja na watu walio hudhuria uzinduzi huo.
Wema akiongea kuhusu ofisi yake na waandishi pamoja na wageni waliohudhuria uzinduzi huo 
Wema akiangalia mojawapo ya kazi zake
Wema akiwa katika picha na mama yake Mz
Kwa picha zaidi bofya read more
Wema akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi pamoja na dada yake na mtoto wao
Wema akiwa na Zamaradi nyuma ni Hartmann Mbilinyi amabye pia alikuwepo kuonyesha support yake
Msanii Rich akimpa mkono wa pongezi Wema
Wema akikumbatiana na mama Dotnata kama ishara ya upendo na pongezi
Wasanii wenzake hawakubaki nyuma kama wanavyo onekana katika picha ni JB na Cloud pamoja na mtu wangu wa nguvu Millard Ayo akiwa busy kikazi zaidi
Wema Sepetu CEO wa Endless Fame Productions akiwa amepose mezani kwake
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family