MAMA MZAZI WA MAREHEMU SAJUKI |
Aliyekua
msanii wa tasnia ya filamu Juma kilowoko alimaarufu kama sajuki,amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumatano tarehe
2.01.2013 katika hospitali ya taifa ya muhimbili
Sajuki alizaliwa
mwaka 1986 jijini Songea mkoani Ruvuma,ameacha mjane na mtoto mmoja wa kike
Kulingana na maelezo
ya baba yake mzazi wa marehemu ameeleza
kuwa sajuki atazikwa siku ya ijumaa tarehe 4 mwez wa kwanza 2013 katika
makaburi ya kisutu jijini Dar Es
Salaam
Msiba upo nyumbani
kwake Tabata Bima-Umoja Road karibu na RN Bar
2brothers ipo eneo la msibani kukujulisha kinachoendelea.........
Bwana Ametoa,Bwana Ametwaa,Jina lake Liimidiwe