Ndege iliyomchukua Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC) ikiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjpokea Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013