
Waombolezaji
wa Msiba wa Msanii wa Filamu hapa nchini Marehemu Sadick Juma Kilowoko
wakibeba jeneza lenye mwili wake tayari kwa taratibu za kwenda
Mazikoni, wakitokea Nyumbani kwa Marehemu Tabata Bima.

Mwili wa Marehemu Sajuki ukipakiwa kwenye gari


Rais wa
Shirikisho la Filamu Tanzania,Saimon Mwakifwamba akimpokea Mbunge wa
Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe alipokuwa akiwasili msibani
hapo






Pamoja na mvua kubwa kunyesha haikuzuia watu kufika kwa aajili ya kuomboleza kifo cha Marehemu sajuki

Waombolezaji wakiwa wanajifunika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar


Mwili wa marehemu Sajuki ukiondoka nyumbani kuelekea makaburi ya Kisutu

Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki katika makaburi ya Kisutu

Wadau mabali mbali wakisubiria mwili wa Marehemu Sajuki, huku Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili.

Umati wa watu ukiwa makaburini Kisutu Dar

Mwili wa marehemu Sajuki ukiwasili katika makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi
Rais Kikwete pia alihudhuria mazishi ya marehemu Sajuki
Jeneza liliobeba mwili wa marehemu Sajuki

![]() |
Hilo Ndo Kabuli Alipopumzishwa Marehemu Sajuki |

![]() |
This is it! Hapa ndipo sajuki amelala! May his soul R.I.P
|
Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Raj'un