skip to main |
skip to sidebar
BURN RECORDS:PRODUCER WA MZIKI WA KIZAZI KIPYA SHEDDY CLEVER AWASHUKURU MASHABIKI WAKE WALIOMPA SAPOTI 2012
|
SHEDDY CLEVER |
Producer mkali wa muziki wa kizazi kipya sheddy clever anaekuja kwa kasi
ya hatari ameiambia 2 brothers kua anawashukuru saana mashabiki wa burn
record kwani toka mwaka 2012 ulipoanza na mpaka umeisha kunamabadiliko
mengi saana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya kwani kazi yake ya
kwanza kumtambulisha katika ramani ya muziki ni Nivute kwako ya daYna na
barnabas nimoja kati ya wimbo ulio fanya vizuri saana katika vituo vya tv
na radio ndani na nje ya tanzania .Sheddy clever hakukata tamaa na
akazidi kusonga mbele nakuwaletea mashabiki vitu vizuri zaidi ndipo akatoa
wimbo Marry me wa Rich mavoko, Amekua ya pasha na 2nda man,Yatakwisha ya
ben pol na linah, na Zlipendwa ya matonya ambayo imefunga mwaka 2012
nakufanya vzr saana .Sheddy clever anawashukuru mashabiki na wadau woote
kwakupokea kazi zake anaomba mkae tayari kwa mwaka 2013 kwani nimwaka
ambao utakua na nyimbo nyingi kutoka Burn record kwa sheddy clever na
wakae tayar kupokea wasanii wapya kabisa kutoka burn record nao ni
K-B,BAMUYU,MAYUTI,BARIDI,DOCHI,CHESCO nawengine wengi naomba muwapokee
kwa moyo mkunjufu jamani mi nawapenda woote!Alisema Producer huyo.