Ligi kuu ya Vodacom imeendelea tena jioni ya leo kwa mchezo mmoja uliozishusha Timu ya Azam ya dar es salaam na Toto african ya mwanza mchezo uliochezwa katika uwanja wa azam chamazi complez..
Katika mchezo huo azam wameibuka na ushindi wa goli 3 kwa 1.