Waziri
Mkuu Mizengo Pinda amjulia hali Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza
Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha
Moi Mzee Mizengo yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji
kutokana na tatizo la nyonga kulia kwa Waziri Mkuu ni Muguzi Mkuu wa
Zamu wodi hiyo Edna Mhina na kushoto kwa waziri mkuu ni Donatila
Kwelukila ambaye ni afisa muguzi chumba cha wagonjwa mahututi.
Badhi
ya Wasaidizi wa Waziri Mkuu wakimjulia hali mzee Savere Pinda
aliyelazwa katika Hospitali ya Moi. (Picha zote na Chris Mfinanga).