VIDEO:TIZAMA MSANII DIAMOND AKIFANYA FREESTYLE PAMOJA NA P SQUARE HUKO NIGERIA

http://scontent-b-mxp.cdninstagram.com/hphotos-xfa1/t51.2885-15/10919090_309229962620302_1417574921_n.jpg
Diamond Alipokutana Na Paul Wa P Square Jijini Lagos

Video Hii Hapa Chini

Msanii Diamond Platnumz Anazidi Kuonyesha Cheche Zake Baada Ya Kushare Mda Na Wasanii Wakubwa Kutoka Nigeria Waliokutana Jijini Lagos Wakiwa Kwenye Maandalizi Ya Show Kubwa Itakayofanyika Jijini Humo Itakayohusisha Wasanii Wakubwa Kutoka Africa Kama P square,Mr Flavour Wote Kutoka Nigeria Pamoja Na Fally Ipupa Akitokea Congo Na Diamond Platnumz Kutoka Tanzania Na Wengine Wengi Kutoka Sehemu Mbalimbali Katika Hafla Ya Kugawa Tuzo Kwa Wachezaji Wa Mpira Wa Miguu.Tuzo Hizo Zinajulikana Kama Glo-CAf Awards
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family