MUIGIZAJI ROBIN WILLIAMS WA MAREKANI AJIUA

0811-robin-williams-4
Muigizaji na mchekeshaji maaarufu wa Marekani Robin Williams amejiua. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake California, Marekani Jumatatu (Agosti
11).


Imeelezwa kuwa kwa siku za hivi karibuni Williams ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 63 alikuwa akipambana na sonona (depression).

Muigizaji huyo alikuwa hajitambui na hakuwa anapumua na hivyo kubainika kuwa alijiua kwa kukosa hewa, asphyxia. Williams alionekana nyumbani kwake mara ya mwisho mida ya nne usiku siku ya Jumapili.

Robin alipelekwa rehab mwezi uliopita kujizuia kunywa pombe. Alikuwa akihangaika kuacha kutumia cocaine na pombe katika miaka ya 80 lakini hakuwahi kunywa kwa miaka 20.
“This morning, I lost my husband and my best friend, while the world lost one of its most beloved artists and beautiful human beings.I am utterly heartbroken”/ ilisema taarifa ya mke wa muigizaji huyo aliyoitoa
Jumatatu mchana.

Williams alipata umaarufu zaidi kupitia filamu kama Mrs Doubtfire, Good Morning Vietnam na Dead Poets Society. Pia alishinda tuzo ya Oscar kwa nafasi aliyoigiza katika Good Will Hunting.

Hizi ni salaam za rambirambi kutoka kwa Rais Barack Obama katika taarifa iliyotumwa kutoka White House ya Marekani:
“Robin Williams was an airman, a doctor, a genie a nanny, a president, a professor, a bangarang Peter Pan, and everything in between. But he was one of a kind.


He arrived in our lives as an alien – but he ended up touching every element of the human spirit. He made us laugh. He made us cry. He gave his immeasurable talent freely and generously to those who needed it
most – from our troops stationed abroad to the marginalized on our own streets.


The Obama family offers our condolences to Robin’s family, his friends, and everyone who found their voice and their verse thanks to Robin Williams.”
*Tazama sehemu ndogo ya filamu ya vichekesho ya Robin Williams ‘Mrs Doubtfire’*

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family