Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Maugo alishinda kwa point mpambano huo . |
Bondia Thomas Mashali kulia akimrushia
konde la mkono wa kulia bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao
uliofanyika juzi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Maugo
alishinda kwa point mpambano huo
picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com.
picha na www.superdboxingcoach.