Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa
futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais
Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa
na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akichota futari pamoja na
wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika
ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akijumuka na wananchi wa
Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano
jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi
mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa neno la shukurani kwa
wananchi wa Bagamoyo waliohudhuria katika futari iliyoandaliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika
ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Sehemu ya kinamama wa Bagamoyo waliohudhuria katika futari
iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete,
ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe
Ridhiwani.
Baadhi ya wafanyakazi wahudumu katika futari iliyoandaliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika
ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiagana na wananchi wa
Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano
jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi
mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.PICHA NA IKULU.