Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwela ngao kwenye mnara
wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika
katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo. Wengine ni
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Waziri Mkuu Mzengo Pinda leo Julai 25, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu
Mstaafu Mhe Frederick Sumaye kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu
ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es
salaam leo.Wengine toka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mhe Maalim Seif Shariff Hamad, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande
Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe omar Othman makungu leo Julai 25,
2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiamkiana na wazee wa
Tanzania Legion waliopigana katika vitra kuu ya dunia ya pili
waliohudhuria kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa
yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo
Julai 25, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014.