![]() |
| Siku
kama ya leo ni siku ambayo ipo kwenye kumbukumbu ya kilichotokea Mtwara
kwenye lile sekeseka la kudai gesi ambapo Wananchi wa Mtwara wameamua
kuifanya kama siku ya kukumbuka wale waliopoteza maisha kwenye sekeseke
la Gesi. Ingawa hii siku sio rasmi kiserekali, asilimia kubwa ya huduma mbalimbali mkoani Mtwara zimesitishwa ikiwemo daladala zinazotoka na kuingia katikati ya mji huo, maduka na baadhi ya huduma kama za sokoni. |
![]() |
| Baadhi Ya Maeneo Mkoani Mtwara Hali Ilivyo Sasa |







