RAIS KIKWETE AKIONGEA NA WANANCHI KATIKA UKUMBI WA PTA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam. Matangazo haya yalirushwa moja kwa moja na Kituo cha TBC. 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam . Matangazo haya yalirushwa moja kwa moja na Kituo cha TBC. 
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family