MWASITI AVUNJA UKIMYA BAADA YA KUNYAMAZA MUDA MREFU

Mwasiti 1

Naambiwa hii single mpya ya Mwasiti Inayoitwa Serebuka itawafikia Watanzania wote na fans wake kwa ujumla kuanzia January 13 2014 na itakua single yake ya nane kuitoa toka aanze muziki rasmi mwaka 2006.
hii mpya ameifanya na producer Tuddy Thomas baada ya ukimya wa kutokutoa single yoyote mwaka 2013 huku single yake ya mwisho kuitoa redioni ikiwa ni ‘mapito’ June 2012.
mwasiti 2
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family