MPIGA TUMBA MAHIRI NCHINI MCD AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO TAREHE 28 MJINI MOSHI



Mpiga tumba mahiri katika muziki wa dansi nchini Soud Mohamed ambaye pia alikuwa akifahamika kwa jina la MCD, ambaye pia alipata umaarufuna kujijengea jina akiwa Bendi ya Twanga Pepeta kisha baadaye akahamia Mashujaa Bend amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya KCMC mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Taarifa hizi zimethibitishwa na msemaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Hassan Rehani, tutazidi kupeana taarifa zaidi kadri zitakavyokuwa zikitufikia. RIP MCD.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family