skip to main |
skip to sidebar
YANGA INAONGOZA LIGI KUU VODACOM
Wachezaji wa Mbeya City.
Wachezaji wa timu ya Yanga Fc.
Yanga yaongoza Ligi Kuu ya Vodacom baada
ya kuishushia kipigo cha bao 3-0 JKT Oljoro na kufikisha pointi 28.
Azam, Mbeya City zatoka suluhu ya 3-3 Chamazi, Dar na zote kufikisha
pointi 27.